Tamati ya tamasha la Fiesta imehitimishwa jana katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam na kuhuduriwa na maelfu ya wananchi wa jiji hilo.

Shangwe zilitawala katika tamasha hilo baada ya wasanii zaidi ya 30 wa kitaifa na kimataifa kuonyeshana uwezo katika jukwaa moja.

Tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na umati wa watu limefanyika jana usiku hii katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar.

Wasanii wakimataifa walikuwa ni, Tekno na Yemi Alade huku wasanii wa ndani wakiwa zaidi ya 30.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *