Serikali ya China inatarajia kutoa mkopo wa bilioni 600 kwa kampuni ya simu nchini TTCL ili kuwezesha kmapuni hiyo kapanua mawasiliano maeneo ya vijijini.

Kupitia mkopo huo kampuni hiyo ya simu nchini TTCL inatarajiwa kuimarisha uwezo wake wa teknolojia hapa nchini na kuwafikia watu waliopo maeneo ya vijijini.

Hayo yamesemwa na Kaimu Ofisa Mtendaji mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Kindamba amewaka habari hiyo ili kujulisha uma kuhusu mkopo huo kutoka kwa Serikali ya China.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *