Habari zilizoenea katika mitandao nchini Marekani kuwa Mcheza tennis maarufu duniani Serena Williams amerudiana na Ex wake Common ambaye ni rapa maarufu nchini Marekani.

Wawii hao walionekana pamoja kwenye uzinduzi wa Yetunde Price Resource Center kwaajili ya kusaidi watu walioathirika na vita na inasemekana waliongea kwa muda mrefu.

Common na Serena walikuwa makini sana kutopigwa picha pamoja ila waliongea. Dada yake Serena aitwae Venus Williams pia naye alikuwepo kwenye shughuli hiyo.

Serena na Common waliachana mwaka 2010 baada ya kuwa na mahusiano kwa mwaka mmoja.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *