Kocha mpya wa Uingereza, Sam Allardyce amesema kwamba kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ndiyo atakayoamua ni nafasi gani mshambulia wake Wayne Rooney ataichezea taifa lake.

Rooney alicheza safu ya ushambuliaji chini ya kocha Roy Hodgson katika michuano ya Euro 2016 iliyomalizika nchini Ufaransa na Ureno kuibuka bingwa wa michuano hiyo.

mourinho

Kocha huyo amesema kwamba iwapo Jose mourinho atahamua kutomchezesha katika nafasi ya kiungo na kama akimchezesha katika eneo la ushambuliji katika klabu ya Manchester United, itakuwa haina maana yoyote yeye kumchezsha katika safu kiungo.

Sam Allardyce amesema kuwa ni mapema mno kuthibitisha iwapo Rooney, ambaye analiongoza taifa lake katika ufungaji wa mabao atasalia kuwa nahoda wa timu hiyo.

baba kay

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *