Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia kujiuzuru kwa vingozi wafuatao.

  1. Ndg. Saidi Meck Sadiki aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

  1. Ndg. Aloysius Kibuuka Mijulizi aliyekuwa Jaji wa mahakama Kuu Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya kurekebisha Sheria Tanzania.

  1. Ndg. Upendo Hillary Msuya aliyekuwa aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Kutokana na taarifa iliyotolewa leo Mei 16 na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Rais Magufuli ameridhia kuachia ngazi kwa viongozi hao kuanzia jana Mei 15.

magufuliii

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *