Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney amevunja rekodi ya magoli barani Ulaya baada ya kufikisha magoli 39 kwenye mechi dhidi ya Feyenoord 4-0 katika mchezo wa ligi ya Europa.

Ushindi huu umeiweka Man u katika nafasi ya pili na alama 9 kwenye kundi A ikiwa nyuma ya Fernabache kwa alama moja.

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa muda wowote Rooney atabaki kuwa Rooney.

Mchezo unaofuata Manchester United itamenyana na Zorya Luhansk huku ikihitaji alama moja pekee kusonga mbele

Matokeo mengine

Fenerbahçe 2-0 Zorya Luhansk

Hapoel Be’er Sheva 3-2 Inter Milan

Sparta Prague 1-0 Southampton

Dundalk 0-1 AZ Alkmaar

Zenit Saint Petersburg 2-0 Maccabi Tel-Aviv

FK Qabala 1-3 Anderlecht

FC Astana 2-1 Apoel Nicosia

FK Krasnodar 1-1 FC Red Bull Salzburg

FC Zürich 1-1 Villarreal

FC Steaua București 2-1 Osmanlispor

FC Slovan Liberec 3-0 FK Qarabag

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *