Mwanamuziki maarufu nchini Marekani, Rihanna leo anatarajia kupokea tuzo ya heshima ya Michael Jackson Video Vanguard Award.

Staa huyo atapokea tuzo hiyo katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York nchini Marekani ambapo pia amepangwa kutumbuiza kwenye utoaji wa tuzo hizo.

riri

Riahanna ataungana na wasanii wengine waalikwa kama vile Kanye West, Justin Timberlake, Beyonce na Janet Jackson.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *