Mwanamuziki wa Rnb nchini Marekani, Rihanna ametembelea wanafunzi nchini Malawi kwa ajili ya kusaidia na kusambaza ujumbe wa Elimu Bora duniani kupitia Taasisi ya Clara Lionel.

Rihanna ambaye ni Balozi wa Global Citizen na Global Partnership for Education, amekutana na walimu na wadau wa Elimu nchini Malawi.

rihana

RiRi ameanzisha taasisi hii ya Clara Lionel Foundation mwaka 2012 kama kumbukumbu kwa babu na bibi yake Clara na Lionel Braithwaite.

Mwanamuziki ni miongoni mwa wanamuziki wenye mafanikio ambao wamekuwa wakishirikiana na wananchi katika kuleta maendeleo kwa kuisadia jamii.

liliana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *