Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny ametangaza kuachia ngoma mpya iitwayo Forever kwa ajili ya Wapendanao (Valentine) na ndio itakuwa Ngoma ya kwanza kutoka kwenye EP yake ya Flowers III.

Rayvanny amesema kuwa wimbo huo utakuwa kwa ajili ya wapendanao hivyo amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwa ajili ya kuipokea wimbo huo.

Wimbo huo utakuwa kwa ajili ya siku ya wapendanao kwani huu ni mwezi wa wapendanao ndio mana ameamua kuachia wimbo huo kwa ajili ya mwezi huu.

Rayvanny amemaliza kwa kusema kuwa wimbo huo umekamilika kabisa hivyo mashabiki wake wakae mkao wa kula kwa ajili ya kuipokea wimbi huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *