Raymond wa TIP TOP kama alivyokuwa anajulikana na wengi kabla ya kujiunga na kundi la WCB akitokea kundi jingine la TIP TOP Connection. Ndani ya muda mfupi sana tangu ajiunge na WCB, Raymond amefanikiwa kutimiza chache kati ya ndoto nyingi alizonazo maishani. Ndoto ambayo imemfanya Raymond kuwa ‘INNOCENT INTERVIEWEE’ ni ukweli kuwa alikuwa akitamani mno kufanyiwa mahojiano na vyombo vya habari akiwa kama mgeni mualikwa. Siku ya kwanza ambapo Raymond alipata nafasi, hakika alimshukuru sana MUNGU kwasababu kuanzia sauti yake mbele ya kipata sauti hadi muonekano wake mbele ya kamera siku alipopata nafasi ya kusimama mbele ya kamera ulidhihirisha kuwa ndoto hiyo hakika ilikuwa imetimia. Is it good to appear and sound nervous on your first interview? Is it the impression a star wants to last throughout the professional career? Ndoto gani nyingine ambayo staa huyo mpya wa Bongo Fleva anataka kuitimiza? Ni wazi kuwa anatafuta mpenzi kutoka familia ya kitajiri ambaye watapendana kwa dhati ambaye atampeleka nyumbani kwao ambako ni HOHE HAHE……Unabisha?Hebu msikilize kwenye ngoma yake hii hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *