Droo ya Europa ligi imechezeshwa leo kwa timu nane zilizoting hatua ya robo fainali ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Ulaya.

Manchester United ni miongoni mwa timu hizo zilizotinga hatua hiyo ya robo fainali baada ya jana kushinda 1-0 dhidi ya Rostov kwenye uwanja wa Old Trafford.

Timu saba nyingine zilizofanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya UEFA Europa League ni Anderlecht, KRC Genk, Lyon, Beşiktaş, Ajax, Schalke na Celta Vigo, michezo ya kwanza ya robo fainali ya UEFA Europa League itachezwa April 13 na marudiano naApril 20.

Ratiba ipo kama ifuatavyo

ligi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *