Ligi kuu Uingereza leo inaendelea tena kwa michezo mitano katika viwanja tofauti huku mechi inayotazamiwa kuwa kali na yakuvtia ni Chelsea atakapoikaribisha Everton kwenye uwanja wa Stamford Bridge.

Ratiba kamali ipo kama ifuatavyo

Bournemouth vs Sunderland saa 11 kamili jioni

Bunley vs Crystal Palace saa 11 kamili jioni

Manchester City vs Middlesbrough saa 11 kamili jioni

West Ham vs Stoke City saa 11 kamili jioni

Chelsea vs Everton saa 1: 300 usiku

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *