Mechi za kombe la ligi nchini Uingereza leo zinaendelea kwa michezo mitatu katika viwanja tofauti nchini humo.

Macho na masikio ya watu yatakuwa katika uwanja wa Old Trafold wakati Manchester United itaikaribisha Manchester City kwenye kombe hilo baada ya timu hizo kufanya vibaya katika mechi zao.

Ratiba itakuwa ipo kama ifuatavyo

Southampton vs Sunderland  saa 3: 45 usiku

West Ham vs Chelsea saa 3:45 usiku

Manchester United vs Manchester City saa 4:00 kamili usiku

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *