Mechi za kombe la ligi nchini Uingereza zinaendelea tena leo usiku kwa michezo mitano itakayopigwa katika viwanja tofauti nchini humo huku mechi kali zaidi ikiwa kati ya Liverpool atakapoikaribisha Tottenham katika uwanja wa Anfield.

Ratiba kamili ipo kama ifuatavyo

Arsenal vs Reading

Bristol City vs Hull City

Leeds vs Norwich

Liverpool vs Tottenham

Newcastle vs Preston

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *