Ligi kuu nchini Uingereza leo inaendelea ikiwa ni mzungo wa tatu toka ligi hiyo maarufu dunia ianze mwezi huu.
Leo kutakuwa na michezo 8 ikichezwa katika viwanja tofauti nchini Uingereza huku mechi kali ikiwa ni Tottenham ikiikaribisha Liverpool katika uwanja wa White Hart Lane.

 

Tottenham vs Liverpool saa 2:30 uwanja wa White Hart Lane
Chelsea vs  Burnley saa 11:00 uwanja wa Stamford Bridge
Crystal Palace vs Bournemouth saa11:00 uwanja wa Selhurst Park
Everton vs  Stoke saa 11:00 uwanja wa Goodison Park
Leicester v Swansea saa 11:00 uwanja wa King Power Stadium
Southampton v Sunderland saa11:00 uwanja wa St. Mary’s Stadium
Watford v Arsenal saa 11:00 uwanja wa Vicarage Road
Hull v Man Utd saa 1:30 uwanja wa KCOM Stadium

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *