Mechi za klabu bingwa barani Ulaya leo zinaanza katika viwanja tofauti barani humo huku mechi ya ngumu kabisa ikitazamiwa kuwa kati ya PSG ya Ufaransa na Arsenal ya Uingereza.

Tazama Ratiba kamili ya mechi za leo.    

   1.Paris St G vs Arsenal

  2.Barcelona vs Celtic

   3.Man City vs B M’gladbach

   4.Basel vs Ludo Razgd

   5.Benfica vs Besiktas

   5.Dynamo Kiev vs Napoli

   6.Bayern Munich vs Rostov

   7.PSV Eindhoven vs Atletico Madrid

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *