Wikiend hii ligi kuu nchini Uingereza inaendelea leo pamoja na kesho ikiwa ni raundi ya saba toka ligi hiyo maarufu ianze mnamo mwezi Agosti mwaka huu.

Hizi ni mechi zitakazochezwa leo na kesho nchini Uingereza

Swansea City vs Liverpool

Hull City vs Chelsea

Sunderland vs West Bromwich Albion

Watford vs AFC Bournermouth

West Ham United vs Middlesbrough

Kesho jumapili Oktoba 2

Manchester United vs Stock City

Leicester City vs Southampton

Tottenham Hotspur vs Manchester City

  Burnley vs Arsenal

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *