Shirikisho la Soka Duniani, (Fifa) limepitisha rasmi idadi ya timu 48 kushiriki fainali za kombe la dunia kuanzia mwaka 2026.

Rais wa shirikisho la soka Ulaya Aleksander Ceferin amesema kuwa amefurahishwa na hatua hiyo na nchi za Ulaya zitawakilishwa vyema.

Kila mwanachama wa Fifa atakuwa na uwezo wa kuongeza walau timu moja katika michuano ya mwaka 2026.

Mwenyeji wa fainali hizi ataingia moja kwa moja kama ilivyokua awali.

Afrika – 9 kutoka timu za awali 5

Asia – 8 kutoka timu 4 za awali

Ulaya – 16 kutoka timu 13 za awali

Marekani ya Kaskazini, Kati na Caribbean – 6 kutoka timu 4 za awali

Bara la Oceania – 1 kutoka timu 1 ya awali

Amerika ya Kaskazini – 6 kutoka timu 4 za awali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *