Manchester City wamefanikiwa kumsajili beki wa kati wa Everton, John Stones kwa dau la usajili wa paundi milioni 47.5.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 22 anakuwa mchezaji wa nane kusajiliwa na kocha mpya wa Man City Pep Guardiola.Everton-v-Manchester-United Stones amesaini mkataba wa miaka sita kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo ya Manchester  City na dakika kadhaa kabla ya kutangazwa usajili wake jina lake lilionekana katika orodha ya wachezaji wa timu hiyo watakaocheza UEFA msimu ujao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *