Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku 3 mkoani Pwani ambapo atazindua viwanda vikubwa 5 pamoja na barabara ya Bagamoyo-Msata. Post navigation Nyumba ya mwenyekiti wa CCM wilayani Hai yachomwa moto Zitto Kabwe amwagia pongezi Rais Magufuli