Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana amewatunuku Kamisheni maafisa 165 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania waliohitimu na kufuzu kozi ya maafisa wa wanafunzi katika chuo cha mafunzo ya kijeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha.

Sherehe hizo zimefanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi kibao wa kitaifa.

Picha za tukio hilo

pmagu

mangi

mangu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *