Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewasili jijini Dar es Salaam akitokea mkoani Kilimanjaro alipohudhuria sherehe za Mei Mosi zilizofayika jana katika uwanja wa Ushirika wilayani Moshi.

Rais Magufuli amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) na kupokea na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Ras Magufuli akiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na viongozi wengine baada ya kuwasili uwanja wa ndege JNIA akitokea Kilimanjaro
Ras Magufuli akiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na viongozi wengine baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa JNIA akitokea Kilimanjaro

Viongozi wengine waliofika kumpokea Rais Magufuli uwanjani hapo ni Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro pamona na mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Happi.

Rais Magufu Katika sherehe hizo alikuwa mgeni rasmi ambapo alipata fursa ya kuwahutubia wananchi kwenye maadhimisho hayo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *