Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa magari matatu mapya ya wagonjwa kwa wabunge wa watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Magari hayo yametolewa kwa wabunge wafuatao, Mbunge wa Nkasi Kaskazini mkoa wa Katavi, Ally Kessy, Mbunge wa viti maalum mkoa wa Tabora, Munde Tambwe na mbunge wa viti maalum mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga.

maga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *