Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemtua Profesa Longinus Rutasitara kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuanzia tarehe 31 Mei, 2017.

Mbali na hilo Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage amewateua wajumbe wa bodi wa kituo cha Uwekezaji nchini.

taarifa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *