Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Florens D.A.M Luoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Prof. Florens anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Bernard Mchomvu ambaye bodi yake ilivunjwa na uteuzi wake kutenguliwa mnamo Novemba 20 mwaka 2016.

Licha ya uteuzi huo Prof. Florens D.A.M Luoga pia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Taaluma).

chato

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *