Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya mfuko wa Pensheni wa LAPF, Prof. Hasa Malawa kuanzia leo Septemba 21.

Mbali na kutengua uteuzi huo wa Prof. Hasa Mlawa pia Rais Magufuli amevunja Bodi ya udhamini ya mfuko huo kuanzia leo

Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya udhamini utafanywa hapo baadae.

ikulu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *