Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema Tanzania inatakiwa kuwa na viwanda vingi na sio hoteli nyingi.

Rais Magufuli ameyasema hayo jana wakati akizindua rasmi maonyesho ya kimataifa ya Biashara ya Sabasaba.

“Basi tuangalie masuala ambayo ni very positive kwa taifa hili,tunataka tuwe na viwanda vingi sio hoteli nyingi.

Amongeza kwa kusema kuwa “Tunataka watu watu wetu hata ukijenga hata kama ni kiwanda kimoja tu, hizo hela ulizoziplan zitatengeneza ajira za Watanzania, na serikali itapata revenue na kwa bahati nzuri sasa hivi Watanzania wameamka katika suala la ulipaji kodi”.

Pia Rais Magufuli amewapongeza Watanzania kwa kuuendelea kulipa kodi sambamba na kuwapongeza TRA kuwaongea siku wananchi za kuendelea kulipa kodi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *