Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge katika mkutano wake wa tano mjini Dodoma.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imeeleza kuwa Rais Magufuli amesaini sheria hiyo jana tarehe 16 Novemba 2016 na kuwapongeza wadau wote kwa kufanikisha kutungwa kwake.

e7a1e188-78ac-4a5f-8c4d-b6f4ad04ab6e

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *