Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amerejea jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara yake mkoani Arusha.

Alipowasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA), Rais Magufuli amepokelewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na viongozi wengine wa Serikali.

Rais Magufuli akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjemba baada ya kuwasili kutoka Arusha.
Rais Magufuli akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema baada ya kuwasili kutoka Arusha.

Wakati wa ziara yake hiyo mkoani Arusha, Rais Magufuli alizindua barabara ya KIA Mererani inayoanzia Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro hadi mji wa Mererani mkoani Manyara.

Pia Rais Magufuli aliwatunuku kamisheni maafisa wa jeshi, tukio lililofanyika katika uwanja wa Shekh Amri Abedi jijini Arusha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *