Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameifumua bodi nzima ya wakurugenzi ya mamlaka ya mapato Tanzania TRA pamoja mwenyekiti wa bodi hiyo, Benard Mchomvu.

Katika taarifa iliyotolea na Kurugenzi ya mawasilano Ikulu inasema kuwa rais ametengua uteuzi huo kuanzia leo tarehe 20/11/2016.

Uteuzi wa mwenyekiti mpya wa bodi hiyo ya wakurugenzi pamoja na wajumbe wa bodi utatangazwa baadae.

6eb3f220-d470-451a-ac10-416c3ae72102

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *