Rais John Pombe Magufuli leo amemtembelea Meja Jenerali Mstaafu Vincent Mribata aliyelazwa katika hospitali Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Tanzania baada ya mstaafu huyo kushambuliwa risasi na watu wasiojulikana.

magufuli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *