Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, DKt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi ujenzi wa gati bandari ya Mtwara.

Akiweka jiwe la msingi hilo Rais Magufuli amesema si lazima mafuta yote kushushiwa Dar es Salaam, meli ziende Mtwara na kuyasambaza kwingine.

mg

Rais Magufuli amewataka wakandarasi waliosaini mkataba kupanua Bandari ya Mtwara wasirudi Dar es Slaam, waanze kazi kesho na faida namba moja kwenye ujenzi wa Gati.

Pia amesema kuwa hakuna sababu ya mafuta yote kushushiwa Dar es Salaam, meli za mafuta zije Mtwara na kusambaza mafuta maeneo ya jirani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *