Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Pombe Magufuli amekubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia utoaji tiba baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo.

Rais Magufuli amekubalina na ombi hilo leo baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Wizara ya Afya ya Kenya uliotumwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Uhuru Kenyatta.

habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *