Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Waziri Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Uteuzi wa Bw. Waziri Waziri Kindamba umeanza tarehe 04 Julai, 2017.

Mtendaji mkuu mpya wa TTCL, Kindamba
Mtendaji mkuu mpya wa TTCL, Waziri Kindamba

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Waziri Waziri Kindamba alikuwa akikaimu nafasi hiyo kabla ya kuteuliwa na kuwa mtendaji mkuu.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *