Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na kumteua Bw. Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho.

Awali nafasi hiyo ilikuwa chini ya  Bi. Juliet Kairuki ambaye alitenguliwa na Rais Magufuli 24 Aprili mwaka huu baada ya Rais kupata taarifa kuwa kiongozi huyo alikuwa hachukui mshahara wa serikali tangu alipoajiriwa mwaka 2013.

barua

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *