Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefanya uteuzi mpya kwenye nafasi kadhaa za serikali ikiwemo nafasi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera iliyokwenda kwa Diwan Athuman aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

Rais Magufuli amemteuwa Jaji Joseph Warioba kuwa Mkuu wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA).

Pia amewateuwa wenyeviti wa Bodi kwenye taasisi tano za serikali akiwemo Jones Kilimbe, Prof. Patrick Makungu, na wengine. Soma taarifa kutoka Ikulu hapa chini.

 

rais-magufuli-1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *