Mbunge wa Jimbo la Mikumi anatarajia kuuaga ukapela kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu anayefahamika kwa jina la Grace Mgonjo.

Profesa Jay ambaye pia ni mwanamuziki wa Hip Hop amefanya send off ya harusi yake hiyo ambayo inatarajiwa kufanyika kabla ya kumalizika mwaka huu.

jay

Kupitia akaunti yake ya Instagram mkali huyo ameweka picha akiwa kwenye send off iliyofanyika jana ambapo ni mwanzo wa harusi yake.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *