Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole kupitia akaunti yake ya Twitter amekanusha taarifa zilizoenea leo asubuhi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana atakutana na waandishi wa habari.

Taarifa hiyo ilidai kuwa leo Ijumaa saa nne, Kinana ataongea na waandishi wa habari katika ofisi za CCM zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam.

comrade

Kupitia akaunti yake Pole Pole ameandika “Napenda kukanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana atakuwa na Mkutano na waandishi leo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *