Kiungo wa Manchester United na timu ya tafa ya Ufaransa, Paul Pogba ameachia collection ya mavazi yake akishirikiana na kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas kutoka nchini Ujerumani.

Pogba mwenye umri wa miaka 23 ambaye ni mchezaji ghari duniani ameachia collection hiyo ya mavazi ili kuwa karibu na mashabiki zake wa klabu yake ya Manchester United pamoja na mashabiki wake wa Ufaransa.

 

poga

Collection hiyo imekuja na vitu kama hoodie, tee-shirts, bomber jacket, snapback, pamoja na mabegi na nguo za mazoezi ambazo zimekuja kutokana na staili mpya ya nywele yake.

Pia Mtandao wa Twitter umemtengeneza emoji ya Pogba ambayo imemfanya kuwa ndio mchezaji wa ligi ya uingereza kuwa na emoji hiyo kwenye mtandao wa Twitter.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *