Uongozi wa Klabu ya Yanga umemuandikia barua ya kukataa ombi la kujiuzuru aliyekuwa kocha wake, Hans van der Pluijm.

Pluijm aliandika barua ya kujizulu Oktoba 22 mwaka huu baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina raia wa Zambia.

Ili kumrejesha Hans van Pluijm ndani ya klabu hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na kocha huyo kumsihi kutojiuzulu nafasi ya Kocha Mkuu wa Yanga.

sc

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *