Beki wa Tottenham, Danny Rose ameisaidia timu yake kupata alama moja baada ya kuisawazishia goli dhidi ya Liverpool kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza iliyofanyika katika uwanja wa White Hart Lane na matokeo kumalizaika 1-1.

Liverpool ilipata goli lake kupitia kiungo, James Milner kwa mkwaju wa penati baada ya Eric Lamela kumfanyia madhambi mshambuliaji Philippe Coutinho kwenye eneo hatari.

oligi

Milner: Akishangilia goli lake alilishinda kwa penati
Milner: Akishangilia goli lake aliloshinda kwa penati

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *