Ratiba ya mechi za ligi kuu nchini Uingereza leo jumamosi ikichezwa michezo minane katika viwanja tofauti.

 

Ratiba ipo kama ifuatavyo

Manchester United vs Arsenal saa 9:30 alasili

Craystal Palace vs Manchester City saa 12:00 kamili jioni

Everton vs Swansea saa 12:00 kamili jioni

Southampton vs Liverpool saa 12:00 kamili jioni

Stoke Ciy vs Bournemouth saa 12:00 kamili jioni

Sunderland vs Hull saa 12:00 kamili jioni

Watford vs Leicester City saa 12:00 kamili

Tottenham vs West Ham saa 1:30 usiku

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *