Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford ameisaidia timu yake kupata alama tatu muhimu baada ya kufunga goli la ushindi dhidi ya Hull City kwenye mechi ya Ligi Kuu nchini Uingereza iliyofanyika katika uwanja wa KCOM.

Man u

Mchezaji huyo aliingia dakika ya 72 akichukua nafasi ya Juan Mata na kufanikiwa kubadilisha matokeo baada ya kupokea pasi kutoka kwa Wayne Rooney na kufanikiwa kushinda katika dakika ya 92 Ya mchezo mpaka mpira unamalizika Manchester Unite 1 na Hull City 0.

Ibra

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *