Mechi ya ligi kuu leo jumatatu Agosti 15
-
Chelsea vs West Ham saa 4:00 usiku
Matokeo ya mechi 5 za mwisho za Chelsea na West Ham United kabla ya mechi ya leo.
Mechi 5 za Chelsea kabla ya mechi ya leo: | |||
04/08/16 | (a) Milan | 1-3 | W |
30/07/16 | (a) Real Madrid | 3-2 | L |
28/07/16 | (h) Liverpool | 1-0 | W |
15/05/16 | (h) Leicester | 1-1 | D |
11/05/16 | (a) Liverpool | 1-1 | D |
Â
Mechi 5 za West Ham kabla ya mechi ya leo. |
|||
04/08/16 | (h) NK Domzale | 3-0 | W |
28/07/16 | (a) NK Domzale | 2-1 | L |
15/05/16 | (a) Stoke | 2-1 | L |
10/05/16 | (h) Man Utd | 3-2 | W |
07/05/16 | (h) Swansea | 1-4 | L |
Mechi ya mwisho kukutana timu hizi zilitoka 2-2