Ligi kuu nchini Uingereza inaendelea tena leo katika viwanja tofauti kwa michezo mitano itakayokutanisha timu vigogo wakati Arsenal akimualika Tottenham kwenye uwanja wa Eamrates.
Ratiba kamili ipo kama ifuatavyo
Arsenal vs Tottenham saa nane mchana
Hull City vs Southampton saa 10: 15
Liverpool vs Watford saa 10: 15
Swansea vs Manchester United saa 11 kamili jiono
Leicester City vs West Bromwich saa 12: 30 jioni