Mastaa wengi wa muziki duniani pamoja na kushindana kuandika mistari mikali na kutoa video kali lakini pia hushindana nje ya majukwaa ya kazi zao.

Unajua huwa wanashindana kwenye nini? Kwa hakika ni mambo mengi, wengine hushindana kwenye utajiri, matumizi ya vyombo ghali vya usafiri au kuishi kwenye majumba ya kifahari nakadhalika.

Lakini kitu ambacho fans huweza kukiona kwa haraka zaidi ni MAVAZI ni MUONEKANO wa KISTAA miongoni mwa wasanii.

Je, hapa Bongo ni staa gani ambaye anatisha kwa MITUPIO ya kisasa zaidi?

simba-diamond-na-zari

screen-shot-2017-02-24-at-09-56-56

alikiba-smanager-4-1024x682

dogo-janja

youngdada

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *