Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amesali Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokia ya  Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

magu-1

magu-2

magu-3

magu-4

magu-5

magu-6

magu-7

magu-8

magu-9

magu-10

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *