Marais wa Afrika walikutana makao makuu mwa umoja wa nchi hizo mjini Adis Ababa nchini Ethiopia ambapo walijadili mambo mbali mbali likiwemo suala la kubadilishana uongozi na kujiondoa mahakama ya ICC.

Picha za Rais Magufuli akiwa katika mkutano huo

Rais Magufuli: Akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika nchini Ethiopia.

Rais Magufuli: Akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika nchini Ethiopia.

Rais Magufuli: Akiongea jambo na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Rais Magufuli: Akiongea jambo na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Rais Magufuli: Akiongea na Rais Uganda, Yoweli Museveni.Rais Magufuli: Akiongea na Rais Uganda, Yoweli Museveni.

Rais Magufuli: Akisalimiana na Rais wa Misri, Abdel Fattah El Sisi.
Rais Magufuli: Akisalimiana na Rais wa Misri, Abdel Fattah El Sisi.
Rais Magufuli akisalimiana na Waziri mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalgn.
Rais Magufuli akisalimiana na Waziri mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalgn.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *