Mchezaji wa Manchester City, Raheem Sterling amenunua nyumba ya kifahari yenye thamani ya paundi milioni 3.1.

Jumba hilo liko katika eneo la Cheshire likiwa na skwea mita za mrapa 7,5000 pia sehemu maalum tatu kwa ajili ya maegesho ya magari ambayo yatakuwa yakipaki ndani.

nyumba-3

nyumba-2

nyumba-1

nyumba-4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *