Nchi ya Morocco imekuwa nchi ya kwanza Afrika kutumia treni yenye kasi zaidi baada ya kwasili kwa treni hiyo nchi humo tayari kwa kutumika.

Treni hiyo ina uwezo wa kutembea kilometa 321 kwa saa kutoka mji mmoja kwenda mji mwingine ambapo inaweza kutumia dakika 120.

Mradi huo umegharimu kiasi cha dola za Marekani bilioni 2 huku wakipata masaada kutoka nchi kama vile Ufaransa, Saudi Arabia, Kuwait na UAE.

Picha za treni hiyo

train

china

high-speed

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *